Mwanamke mwanaume

unapataje ujasili wa kumtongoza
 
Demu ni demu...tena ukute yupo na jamaa yake kabisa


Mtu mwenye akili timamu anafila mwanamme mwenzake sembuse huyu? Tena huyu atashughulikiwa huku akichezewa ndevu zake mpaka ataona raha na kamwe hatozikata.
 
Siwezi hata kumtongoza, nahisi nitakua natongoza dume..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…