Mwanamke msumbufu sana jamani.

Maleria imepanda kichwani maana uameandika gazeti na hujaeleweka
 
Ukiona mwanaume anawaza/ semasema sanaaaaa juu ya mwanamke anaemsumbua jua tu hapo kuna +ve impact siku za karibuni

Cc Smart911
 
Mkuu unaacha chuo kisa mwanamke.?
Unahama nyumba ulipopanga kisa mwanamke.?
Uzi mrefu kiasi hiki kisa mwanamke.?
Mkuu hebu kuwa serious mzee.
Acha kuonyesha udhaifu kiasi hiki mkuu.
 
Ama Kwel kila mnyonge na mnyonge wake kwa nn na penye miti mingi Hapana wajenzi
 
Wengi wangefurahia kero za hawa viumbe bas.

Macho huona kile ambacho akili iko tayari kuelewa...
So akili yako ishamuelewa kubali kataa na ndomana you take even a single minit kuwaza kero zake
Na ukiendelea kumfikiria utaniambia. .
 

Garbage
 
We utakuwa sio mwanaume kamili aisee,,, mpe haki yke bana mwanaume huwez kukimbia mwanamke bana....
 
hata Mimi najarbu kumwelewa kdogo mf.MTU akiamua kukuaibisha na kukutukna FB, insta, huo utakua ni uuaji labda anamaanisha ivo.
 
Kama Vip Mkubalie
Siwez mkuu siwez mla demu bila moyo wangu kuwa tayar ni ngumu mno. Bora nimchane mapema tufunge biashara kila mtu afanye yake. Nishamwambia mara kadhaa kuwa love niliyokua nayo kabla kwa sababu kesha niudhi sa askii tuu sasa anafikir mimi ni robot kwamba unalielekeza linaendaa hata kama halitak.

This bitch must look the effect of forcing love. She will regret bro.
Hakuna upendo wa kulazimisha hii dunia. Nathamin moyo wake by the way so i promise to avoid breaking her heart.
 
Unapitia kitu kimoja kinaitwa psychological bullying,.. Naomba utafte washauri nasaa LA sivyo inaweza kukuaffect in long run,..na uyo mwanamke unatakiwa umwambie ukweli ukiwa unanface kwamb huna hisia naye akuleave alone,..na pole Sana na unayopitia,Mungu akuongoze,
 
Naona hata uelewa wako shida. Ok sidhani kama wewe ni mwanaume wa kujiamini kihivyo
 
Mkuu binadamu wanaaboa sana yani baada ya kuamua kukaa mbali kaamua kuajiri team kabisa ili wani attack. Inafkia stage stok geto coz sijui kitakachonikumba huko njian.

Sasa nachojiuliza utu wa binadamu umeshuka kiasi gani namna hiyo hadi mtu unaamua kuweka utu pembeni na kuamua kumdhuru mwenzio?
Yan they dont see its to do what they do?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…