Mwanamke msumbufu sana jamani.

nchi ya vi-wonder kweli!
thread kubwa pointi nukta(.)!
wewe ni mvulana au mwanaume ?
 
Du unaniambia mimi au mtoa thread? Nilikua namjibia tu maana kuna mwanaume na mtoto wa kiume
 
acha kulia kijana, demu wa chuo anakusumbua hivyo? weka picha yake kwanza tumthaminishe...
 
Huyo demu anahangaikaje na mtu ambaye hata kuandika hajui.....Bashite namba mbili,wahed!
 
Mwanaume unamuogopa mwanamke dah, wewe utakua mwanaume wa dar.
 
Vicheche wawili,nipe namba za huyo Manzi! ntahakikisha akusumbui tena.
 
Hivi mwanajf mwenzetu DEO KISANDU yuko wapi siku hizi?
 
Nimeisoma thread yote nimekuja kuelewa hapa mwisho tu kuiona nukta
 


YAANI SIJAELEWA KITU CHOCHOTE
 
Huyu jamaaa kuna kitu hatuelezi vizuri haiwezekani mwanamke uwe hujawa na mahusiano naye akufatilie kiasi hiko

Kunywa maji tuliza nafsi afu tueleze vizuri
mkuu wanawake we wasikie tuu.
 
nashukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…