pole sana mkuu ila sijapenda kuona unashindwa kufanya mambo yako kwaajili yake
sijapenda pia kama kweli umeacha chuo kwaajili yake
huo ni mtihani ambao mungu amekupa
bado unayo nafasi vumilia japokua katika thread yako sijaona imani yako juu ya hili
ila nataka nikwambie tyu kua na subra kumbuka kisa cha nabii yusuf (rahim allahu)
hakika ya subra haikuwai kumtupa mtu
we ishi uku ukitambua kua mungu anakuona mungu anashuhudia mapito yako
cha muhimu wewe ni kuomba mungu tena sio akuondoshee hilo jambo hapana
omba mungu akufanyie wepesi ,akupe subira katika matatizo
i swear iko siku yeye mwenyewe atadhalilika kupitia kwako wewe
ikiwa tyu utafanya kama nilivyo kueleza
asalaam alykum