Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu

amloweke na tangawizi bila kusahau kitunguu swaum atakua na ngozi soft kama ya samaki!! hahaha wanaume mtatuua kutwa kutukosoa mtadhani na nyie mko perfect.
Hii mnatakiwa mjiliweke wenyewe, mkija kwetu mnahakikisha mko poa kila idara
 
Haujapenda wewe, ulikuwa kwenye experiment.......Ungependa usingeona huo ugumu, mwili mzima ungekuwa nyororo na unateleza kama kambale.
 
Aiseeeee

Nilimsotea sana huyu mrembo nikampania sana maana kimuonekano ni anavutia haswa
Basi nikaenda nae hadi akawa sawa

Ajabu na kitu iliyonikata stim ni huyu demu kuwa na kingozi ligumu mwili mzima!
Si mikono wala kalio lake kubwa, kote ni ngumu kama gamba la samaki ful mikwaruzo, kiukweli hafanani na jinsi alivyo hakika hakuna kizuri bila kasoro

Inakuaje mrembo wa kimuonekana unakua na ngozi ngumu?

Kwakweli hapa atanisamehe, hataniona tena
Huyo ndo mwanamke wa Kiafrika,tatizo mmekwishazoea hawa mademu zenu waliojipiga mikorogo hadi ngozi zimekuwa kama plastiki..!!
 
Back
Top Bottom