MUGASHA THE HERO
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 327
- 205
ahaaaaaaaaaa loh
mwanamke mrefu kuvaa high heels ni sawa na chumba chenye AC kukiwekea feni.
how you know.mwanamke mrefu kuvaa high heels ni sawa na chumba chenye AC kukiwekea feni.
trying to show how stupid she looks.. ni sawa na kuvaa shati ndani ya shati, tayari una shati, shati lingine la nini? tayari mrefu, mnyenyemeo wa nini?how you know.
swissme
M R E F Uwewe ni mfupi nini wivu mwingine noma
swissme
inawezekana hukunielewa, kwani nimesemaje?kwa hiyo unapumua huko kama ulivyosema.
swissme
unatafuta kiki kutoka kwa swissme.inawezekana hukunielewa, kwani nimesemaje?
you can't kick, legs too fat to lift.unatafuta kiki kutoka kwa swissme.
swissme
Kuna comments za watu humu full vituko, kweli ukitaka raha na karaha ingia jf ujionee,hata kama una stress lazima ziishekama vipi avae kokoko
nafikiria alimtongoza kwa simu . au face 2 face??