Mwanamke mpe mwanaume kiuno

Na Mimi unipe bas
Sitaenda kutangaza itakua Siri Kama pin number

Sent by IPhone
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜…šŸ¤£wacha weee ngoja niwapangie timetable kabisaa
 
Aisee! Wenye wapenzi naamini kipindi hiki cha Corona mnafaidi sana na lock down!

Ngoja sisi tuendelee na maombi ya kuliombea Taifa letu la Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
me kwa kweli hata mwanamke awe na tako kubwa kama kifusi huwa hanivutii..ila akiwa na kiuno kama cha nyigu huwa ananivutia sana.
 
Sawa kungwi wetu ngoja nimpe mbebe wangu kiuno kwa kwenda mbele hata nijitingishe tingishe tu si eti
Yaani wewe hata mwandiko wako haufananii na kutingisha tingisha ...unatakiwa ukate uno mpaka na nanii huku ukifinyia kwa ndani.

Wasiwasi wangu Jael tu...huyu hii mada haimuhusu.
 
Raha ya mwanamke awe na tako ata kupiga makofi, mwanamke hana tako kaa men dadeki stimu zinakata wakati mwingine
 
kijeba kimoja kitoe nyuzi yetu ya mwanaume mashine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…