BIN BOR JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,013 Reaction score 407 Jan 14, 2011 #1 Katikati ya baa, mwana mama mmoja mlevi akapaza sauti. "Hivi, kuna mwanamume gani hapa anayeweza kunifanya nijisikie mwanamke kikweli kweli?" Mlevi mmoja (dume) akavua shati na kumtupia. "Haya, kafue hiyo shati"
Katikati ya baa, mwana mama mmoja mlevi akapaza sauti. "Hivi, kuna mwanamume gani hapa anayeweza kunifanya nijisikie mwanamke kikweli kweli?" Mlevi mmoja (dume) akavua shati na kumtupia. "Haya, kafue hiyo shati"
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Jan 14, 2011 #2 mi ningemrushia chu**
M mbongopopo JF-Expert Member Joined Jan 24, 2008 Posts 1,611 Reaction score 764 Jan 14, 2011 #3 lol nice one