Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 88
- 200
Naomba kupata mawazo yenu...
Najua kuwa kitendo cha kufika kileleni ndo uzazi wenyew coz kwa mwanaume anamwaga sperms ndani ya uke.
Sina uhakika kwa mwanamke nae anafika kilele anamwaga kitu gan..mwisho wa cku nazan ni kupata uzazi ndo lengo la uumbaji wa mungu
Sasa swali langu mjamzito ikiwa tayri kashatungisha mtoto je atawez kufika kileleni na kama atafika ni kwa vipi
sijajua niweke swali vipi nahis mtaelewa angalau