Mwanamke mfupi kuliko wanawake woote duniani.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Guinness World Records kutoka central India imethibitisha

kuwa Jyoti Amge mwenye urefu wa inchi

24.7 aliyeshelehekea hivi juzi siku yake ya

kuzaliwa akitimiza miaka 18, kuwa

ndiye mwanamke mfupi kuliko wanawake wengine duniani
 
Mh, anaweza kuzaa kwel huyu? Na nanii yake cjui ipoje

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Khaaaa hivi si kanalingana na chupa ya chai?
 
Kaangalie kwenye youtube, ni kama-pepe mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…