Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Nilitafutiwa sababu nikaachana nae ila kaka umechambua vizuri sana.
Wanawake sio kaka wazinguaji sana wanatutia mkosi tuu.
Nakumbuka hiyo 2015 bado kibanda chao kilikuwa hakijapitiwa na REA licha ya kuwa kipo mjini.
Was a severe poverty.......!!!!?
 
mtoa post naona leo umegusa pamoto,wamekushika hatari mkuu by the way mapenzi is all about preferences(kuchagua) na haya machaguo hayatatokea yakafanana baina ya mtu na mtu kwamsingi huu yanatofautiana,yuko sahihi kwa upande na mtazamo wake.
 
Ukioa kwenye familia masikini umejinunulia matatizo.

Huwa nakumbuka statement ya jamaa, "mwanamke akiniomba buku kumi ya vocha, huyo hafai wala hanifai coz atanirudisha nyuma"
 
umalaya ni tabia wangapi wanapesa na waume zao wanajiweza.still.malaya.ashikik uwo utabir na uchunguz wako haukuzingatia.vigezo
 
Bora nioe mwanamke ambaye hajui hata kusoma wala kuandika ila sio mwanamke kutoka familia maskini saaana....tatizo sio kunijazia kijiji kwangu ila tatizo kuuza utu wake! Wana hyo roho na ni ngumu kubasilisha...kati ya 10 maskini utakuta 1 ndo ana msimamo!!

Tushagongewa hadi wachumba kisa ni hiki...hata umpe ela vipiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…