Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Mkuu unakufuru. Dunia inazungua na classes Mungu kaweka kwa malengo maalumu. Hapo dah think twice mkuu
Ni kweli lakini hawa ndo wanaliwa hadi maofisini

 
Samahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.

Masikini haaminiki anaweza kununuliwa wakati wowote.
Hata Mungu haweki agano Na masikini hata mara moja .
 
sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwaza
Je unajua maana ya neno Masikini?Je umasikini ulioongelewa kwenye torati ni wa kimwili,kiakili au kiroho?Nisaidie tafadhali,huenda ukanishawishi kukuelewa.
 
Mimi si masikini na sina laana wala mikosi na siamini katika laana bali ni muumini wa ushindi daima.Lakini pamoja na hali niliyonayo siwezi kuwashawishi watu kujitenga na jamii za kimasikini badala ya kuhamasisha watu wasio masikini kuwa karibu nao ili waweze kutoka katika hicho kitu ambacho ninyi mnakiita laana.Kama wewe ni msomi kwa nini usijikite katika kuwaelimisha hao unaodai wana laana badala yake unaandika vitu vya kushangaza?
 
Duh!
Umaskini ni laana, wakati huo huo tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano.
Tuweje sasa mkuu unashauri?
[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Huyo anachanganya utajiri unaoelezewa kiroho na wa baba yake.
 
Big up mkuu.[emoji122] [emoji122]
 
Hyo mkuu inaukweli asilimia zotee,,hawa wnawke wanasumbuaaa kweliii
 
Tena bora ukutane na jambazi linalotumia siraha kabsaa lakin sio mwanamke wa hivyo maana anaweza kulisha hata sumu kwa sababu yupo kimasirhi zaidi
 
Sidhani kama kuna uhalisia unachokisema mtoa mada,mambo ya usaliti na ustahimilivu ni tabia ya MTU,MTU anaporidhika na mwenzie hajali hayo mengineyo
 
ni kweli mkuu...
 
Umenigusa sana mkuu, nawezaje kuondoa hiyo laana mkuu.
 
Masikini haaminiki anaweza kununuliwa wakati wowote.
Hata Mungu haweki agano Na masikini hata mara moja .
Nikikutana na misitari hii kwenye biblia kamwe sintoenda kanisani tena kusali !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…