Nimeajiriwa serikalini napenda kujitokeza ndani jamiiforum kumpata mwanamke aliyetayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mimi na awe tayari wakati wowote nitakapoamua kumuoa asije akaanza kunipa sababu kwamba nimemshitukiza.mimi ni mkristo ni mrefu wastani maji ya kunde miaka 38 .sifa nimtakaye
1.mkristo
2.mrefu [18 cm]
3.rangi yeyote
4.awe na shape nzuri
5.awe anaishi dar es salaam
6.umri miaka 25--32
7.asiwe anakunywa pombe
8.mwenye kujua mapenzi [amefundwa]
9.asiwe mkorofi
10.elimu kuanzia ngazi kidato cha nne na kuendelea
1.mkristo
2.mrefu [18 cm]
3.rangi yeyote
4.awe na shape nzuri
5.awe anaishi dar es salaam
6.umri miaka 25--32
7.asiwe anakunywa pombe
8.mwenye kujua mapenzi [amefundwa]
9.asiwe mkorofi
10.elimu kuanzia ngazi kidato cha nne na kuendelea