Ni mtazamo tu!
Kwa dunia hii ya sayansi ya Teknohama,
Mambo yanaenda sawa japokuwa mwanaume akitongozwa anaona kama kashushiwa hadhi yake ya kuwa na dushelele..
Ile kasumba kwamba mwanaume anatakiwa kuwa forward kwa kila jambo ndiyo inayotusumbua sisi watu weusi katika dunia mpya...
Hii theory ya wanawake kutongoza wanaume kwa watu weupe naona inachukuliwa tofauti sana! haina udhalilishaji kama sisi.. Hata kama couples zikiachana, basi mara nyingi huwa ni amani amani.. bongo sasa, utakoma kutongoza!