Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Bado anafikiria kuhusu mtongozo wako akukubalie au akutolee nje? Kaza buti mpaka kieleweke.

Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
 
Acha utoto huyo tayari ni manzi yako wewe mtreat kimapenzi utaona anavyorespond, mademu hawapendi kujibu nimekubali.

Msalimie shemeji yetu mpya mzee baba

[emoji23][emoji23]
Nimecheka sana....!
[emoji131] [emoji131] [emoji131] [emoji131] [emoji131] [emoji131]
 
Back
Top Bottom