Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Huwez ukasema amekubal moja kwa moja yule n mtu mzma yaweza ikawa kuna jambo lnamtia mashaka juu yako kwahy yupo kwa ajl ya kujua zaid kwahy kaa nae kwa akl endelea kumkazia upo kwenye mizan anapma je huyu nkmkubal atanifaa au nkimkataa nitakuwa nimepiteza??
Ila endelea kumkazia huyo mtoto n wako
 
Back
Top Bottom