Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

kikokoti

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
678
Reaction score
275
Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom