Mwanamke kushika simu yako ni sahihi?

Mwanamke kushika simu yako ni sahihi?

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
717
Reaction score
744
Hivi wadau mwanamke kushik simu yako ni sahihi maan hii tabia ukweli si ipendi inanifany ni mchukie kabisa huyu mama kijaa japo sijamuowa na nimekuwa nikimkataza mara kwa mara namuon kama hanifai na anaye nizarau kumkaraxa kitu nisichopenda lkn bd anafanya wadau nimfanyaj tn huwa ananivizi kam leo nimegonga kamvinyo kidog ile kulala akapitiaa Charting zang zote halafu akaniambiaa hasira nilizozipt bc tu yn sijui nimfanyee nikiwa namwambia kitu aheshimu na kutii km mwanamume yn wanawak wa sikuiz viburi sn
 
Na ww acha kushika ya kwake kesi imeisha na muishi kwa amani.
 
Hap ndo kwwny utata ht ukisha yake huwwz kutaa kitu afutaga kilaa kitu sasa mm kutokan na mishe zangu huwa sn muda na sn mamb mengi anachoniuz ni personal ishu zangu vile kuziona
 
Kuna watu mnamahusiano magumu sana, sana magumu simu tu? eti personal ishu zangu kaziona? hivi wewe unaweza mkabidhi mama kija wako atm card na password yako ya bank? jirekebishe mkuu na uache u.malaya uache pia kulaumu na kupata hasira kwa mambo yako ya kitindiga.
Lione kwanza na ukumbuke mwenzako kabeba kiumbe chako.
 
Lione kwanza.

hujitambui
 
Siku nyingine kaka fanya editing duh kwa maana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wadada hakikisheni mnafundisha waume zenu kuandika vzr kabla ya kubeba mimba zao mtakuja kuharibu kizazi cha watoto wenu bure.
 
Hap ndo kwwny utata ht ukisha yake huwwz kutaa kitu afutaga kilaa kitu sasa mm kutokan na mishe zangu huwa sn muda na sn mamb mengi anachoniuz ni personal ishu zangu vile kuziona
Kumbe na ww huwa unashika simu yake......sasa kinacho kumiza ni kuto mkamata ila ww una kamatwa change strategy bro weka password sasa.
 
Ni mama kija eeh? Sishangai. Gubu halijazidi?
 
Kuna watu mnamahusiano magumu sana, sana magumu simu tu? eti personal ishu zangu kaziona? hivi wewe unaweza mkabidhi mama kija wako atm card na password yako ya bank? jirekebishe mkuu na uache u.malaya uache pia kulaumu na kupata hasira kwa mambo yako ya kitindiga.
Lione kwanza na ukumbuke mwenzako kabeba kiumbe chako.
Hivi wadau mwanamke kushik simu yako ni sahihi maan hii tabia ukweli si ipendi inanifany ni mchukie kabisa huyu mama kijaa japo sijamuowa na nimekuwa nikimkataza mara kwa mara namuon kama hanifai na anaye nizarau kumkaraxa kitu nisichopenda lkn bd anafanya wadau nimfanyaj tn huwa ananivizi kam leo nimegonga kamvinyo kidog ile kulala akapitiaa Charting zang zote halafu akaniambiaa hasira nilizozipt bc tu yn sijui nimfanyee nikiwa namwambia kitu aheshimu na kutii km mwanamume yn wanawak wa sikuiz viburi sn
Kiukweli huwa haipendekez kabisa kutumia consonant x badala ya s so mdau jifunze kuweka tofaut kat ya x(eksi) na (es) kwani hakuna ufanano wa kimatamshi
 
Kwan akishika unaumia wapi??? Unamadhambi mengi unayaficha kwa sim eh?? Pengine ujauzito wake unamfanya awe hivo, au umeanza kuonesha indicators mbaya mbaya kuhusu mienenendo yako japo kushika sim yako hakusaidii
 
Unachoficha ni nini kwenye simu yako
Mm huwa sipendi kushika simu ya mr ila siku niamue naishika vizuri tu na simu zake zinaingia napokea sababu simu yangu anashika vizuri sana yaani kama yake
 
Acha kufanya umalaya ili uwe huru na simu yako.Mi napenda ashike.
 
Back
Top Bottom