Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,813
huwa siamini kama kuna mimba za bahati mbaya.
Mwanamke kupata mimba huwa kataka yeye.. Huwa hainiingii akilini tangu msichana avunje ungo by 12-13 then eti leo ana 25 ndo apate mimba ya bahati mbaya! Yaani ina maana huyu mtu over 12 years (miezi 124) of experience ya MP bado hajui kuhesabu siku zake?