Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 701
Hi,JF! hivi hii imekaaje? mwanamke akimtongoza mwanaume ,anasomekaje?
anasomeka poa tu, koz ameruhusu hisia zake zifanye kazi...
kwa wenzetu ni kawaida sana
hata kenya kwamfano,ni kawaida
kwa watanzania ,ni wachache wenye kujiamini kiwango hiko
its rare.....wengi huishia kujitongozesha,but wachache wana uwezo wa kutongoza mwanaume
those type of womens turn me on big time.....
Mtoa mada kwani wewe unamuonaje mwanamke huyo?
tatizo wa kaka wa kutongoza bongo hamna wamekaa kutongoza zaidi so tunawaachia wafanye kazi zao
tatizo wa kaka wa kutongoza bongo hamna wamekaa kutongoza zaidi so tunawaachia wafanye kazi zao
The Boss, afadhali hapo kwenye NYEKUNDU, ila kutongozwa na Mwanamke inatisha Mkuu, mie nishawahi kutoka Nyuki... baada ya kutongozwa na mwanamke!!!, sijui ni jamii zetu na malezi?????
habari yako,kwakuwa haijazoeleka na ndio mana unauliza ivyo,lakini ipo sawa mean anasomeka sawa.ni kama mwanamme anavyomtongoza mwanamkeHi,JF! hivi hii imekaaje? mwanamke akimtongoza mwanaume ,anasomekaje?