God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Mama yako alifanya hivyo unatuhabarisha, mpuuzi mkubwa weweMwanamke yeyote yule ukimskia analia lia njaa ujue huyo ni mpuuzi na mjinga.
Awe wa kawaida lazima atakua na wanaume wanammendea tuu, na wale warembo ndo kabisa hawakamatiki yani hawa utakuta wanalist ya wanaume hata 1000 kwenda juu wote wanataka penzi.
Hapo akishindwa kufanya manuva na kupata pesa hakika hastahili kuwa mwanamke kabisa.
Pesa zinapatikanaga kiurahisi tuu, mfano zawadi ya birthday, nguo, kuumwa, nipe nauli nije, sijala, mwenye nyumba anadai kodi, mzazi mgonjwa na mbinu nyingine tuu nisizozijua za kijasusi.
Imagine mwanamke bithday yake ni tarehe 2 mwezi wa kumi hapo akiwatext wanaume walio kwenye list lazima watawaza kutoa zawadi hata wakigoma basi hawatakosekana 100.
Sasa piga mia moja mara hela ya chini kabisa mwanaume unaweza kumpa mwanamke ni buku teni, 10,000*100=1,000,000
Kwa nini ewe mwanamke ulie lie njaa? kwa maneno yako matamu unashindwa kumwingiza chaka sharobaro au dume lolote au domozege kweli ligeni na mapenzi? pale ukimwandikia i love you dear natamani siku ya leo iwe special kwetu ila sina pesa ya kuja kwako, likitumua unazuga umeitwa kwenu halaf next day unaanza kulipiga kalenda tuu na sababu kibao, au unalitumia picha moja kali sana linachanganyikiwa hata siku ya mtihani linasahau!
Masharobaro wao wanatoaga cha juu, wako radhi wasilipe ada au wasifanye mipango ya kimaisha watupia 500,000Tsh na ushee kwa mwanamke ili aonekana mjanja.
Hapo hujaweka lile kundi maarufu hapa nchini la watu wazima hasa vigogo hawa hutoa pesa nyingi sana, so mwanamke ukiwa mjanja hapa utasoma bure kwa pesa za wanaume na kufanya mipango kibao ya kibiashara.
Hiyo birthday ni official ila unaweza danganya ata boya flani kwamba siku flani ni birtday ili liingie kingi likupe cha juu.
Mnaweza kudanganya kwa shida kibao maana mna akili nyingi na uwezo wakuteka hisia za mwanaume na kumwingiza moja kwa moja kwenye mikono yako.
NASEMA TENA MWANAMKE KULIA NJAA NI UJINGA NA UPUUZI ULIOTUKUKA.
We jamaa mbona unahusisha sana Mama za watu kwenye mambo yasiyowahusu.M
Mama yako alifanya hivyo unatuhabarisha, mpuuzi mkubwa wewe
Nitamshambulia akiwadhalilisha wanawake, sitamchagulia tusi hata kidogo! Nitamtafutia litakalo muumiza nafsi yake. Kumbe vinauma!We jamaa mbona unahusisha sana Mama za watu kwenye mambo yasiyowahusu.
Hata kama una hasira huwezi kumshambulia mtu bila kumuhusisha Mama yake asiyehusika na kilichokukasirisha?
Mitandao ipo mkuu na kila day anakutana na wanaume kibao so anakua updated kila siku zinavyokwendaAyo mambo yako na mda,unawezaje kuendesha maisha kwa miaka mitano kwa system iyo?? Wanaume 100 wapya kila mwezi utawatoa wapi??
Acha na hawa watu mkuu, siku zote panapowasha ndio penyewe mkuu.We jamaa mbona unahusisha sana Mama za watu kwenye mambo yasiyowahusu.
Hata kama una hasira huwezi kumshambulia mtu bila kumuhusisha Mama yake asiyehusika na kilichokukasirisha?
Nashukuru kwa mawazo yako maridhawa ndg yangu. Mimi ninampenzi asiependa pesa na ni muda mrefu sana hajawahi nidai! so wanaosema wanawake wanapenda pesa hapo naweza wapinga kwani kuna mmojawapo hanaga hayo mambo hivyo hivyo mambo niliyoeleza hapo juu kuna wanawake wachache sana hawayafanyi! ila majority ni hell tuu.Unawatamania?
Si kila mwanamke unayemuona anaweza au atafanya upuuzi kama huo uliouandika hapo.
Kuna wanawake wanajiheshimu mkuu hivo kufanya kama hicho ulichoshauri utasubiri.
Halafu huyo mwanamke wa kuwa na watu 1000 anawatoa wapi?
Kwa style hiyo acha tu nibaki mjinga kwakweli
Vinamuuma nani? mimi nimesema tu....Alafu kusema utamshambulia kisa tu kasema kitu tofauti na mtazamo wako, ni ujuha!Nitamshambulia akiwadhalilisha wanawake, sitamchagulia tusi hata kidogo! Nitamtafutia litakalo muumiza nafsi yake. Kumbe vinauma!
Juha ni wewe stupid!Vinamuuma nani? mimi nimesema tu....Alafu kusema utamshambulia kisa tu kasema kitu tofauti na mtazamo wako, ni ujuha!
Kila mtu anamtazamo tofauti juu ya jambo flani, kwahiyo mitazamo na misimamo ya watu iheshimiwe na sii kulazimisha ya kwako ifuatwe.
Hahahahaaa....Sasa ndugu wanitukania nini?**** ni wewe stupid!
Umenitukana Juha! sijapendaHahahahaaa....Sasa ndugu wanitukania nini?
Mimi huyu mleta mada simjui, wala sikubaliani na mitazamo yake ila yafaa kuheshimiwa.
Ila kama una hamu ya kutukana, basi ni sawa tukana kadiri ya uwezo wako.