Mwanamke kukosa hamu ya tendo

Mwanamke kukosa hamu ya tendo

Unajua Mkuu hawa viumbe mpaka wakuridhie wenyewe ndo utamwelewa unaweza kuta yupo na we we kwa vihela tu basi wa kumkuna yupo kwa matakwa yake,kingine hawa viumbe wanachagua walau usiwe na sura nzito sasa unakuta sisi wengine sura nzito kama unalia aaaah hapo utamlazimisha tu hii ni kila mwanadam hakuna anayependa kibaya hilo lawezekana hajaridhika na ww,he ukirudi hata kiss unapata za kutosha?
 
Mkuu wanawake asikwambie mtu vitu vizuri tunavipenda tena wanawake wengi,ila kwa kwanza usafi wa mwili meno na kauli,mapenzi yako wewe kwake ndio yatamfanya afanye vitu ambavyo hajawahi fanya,nxt time ukienda ebu badilika kama ulikua unaenda kama mwanajeshi mara hii nenda umependeza unanukia vizuri usiwe na papara yakumparamia,ongea nae
jaribu kusoma mind yake yuko kwenye mood gani,mwanamke unaweza kua unanuka Mdono au Miguu uka mchefua nafsi yake akawa hana hamu hata ya kukuona,na akija kukuona ujue umelazimisha na hatokawia kukwambia nataka niende home...
Umenena vyema mkuu
 
Habarini Wakuu, Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu.

Nina mahusiano na binti mmoja nina mpenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni kwamba ana hali ya kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Mara zote nilizowahi ku sex nae nikifunga goli moja hataki tena kuandelea. Hapendi kuongelea mambo ya mapenzi.

Nikisema nikae kimya nisimuombe gemu ndio anajisikia raha. Mara nyingi nikimuuliza anadai hana hamu ya tendo kabisa.

Najisikia vibaya kumuacha, sipendi kumsaliti kwa michepuko.

Nisaidieni, tatizo linaweza kuwa ni nini?
Nimsadie vipi.

Asanteni sana. Ni usiku mno ila ndio mida hii nimeanza tumefika katikati hataki tena.
Jitahidi kumpeleka kule MTO Ngono kule bukoba, atakaa tu sawa niamini mimi..
 
Unajua Mkuu hawa viumbe mpaka wakuridhie wenyewe ndo utamwelewa unaweza kuta yupo na we we kwa vihela tu basi wa kumkuna yupo kwa matakwa yake,kingine hawa viumbe wanachagua walau usiwe na sura nzito sasa unakuta sisi wengine sura nzito kama unalia aaaah hapo utamlazimisha tu hii ni kila mwanadam hakuna anayependa kibaya hilo lawezekana hajaridhika na ww,he ukirudi hata kiss unapata za kutosha?
Mara chache sana
 
Wapo wengine huwa hawapendi umkomalie sana kwenye sex na mastaili ya ajabu ajabu wakati bado wapenzi!
Mpaka ndoa kwanza.....
 
Umeweza kumsomesha mpaka akakukubali hapo palipobakia ni padogo sana,kua muwazi kwamba hushibiii na yeye ndio anaeweza kukushibisha...
Analijua hilo kwamba mimi sitosheki maana hua namwambia
 
Wapo wengine huwa hawapendi umkomalie sana kwenye sex na mastaili ya ajabu ajabu wakati bado wapenzi!
Mpaka ndoa kwanza.....
Style zenyewe hataki ni moja tu na huwa nampa hyo anayotaka
 
Back
Top Bottom