Mwanamke kudai anajisikia kukojoa

Njoo Bukoba utajua kama wanakojoa au wanatania ,karibu sana dogo utakojolewa walah !
 
Umeshajaza form ya kurudia mtihani wa kdato cha nne au ndio unasubiri tukupeleke veta mkuu
 

Yaani hadi February mwishoni bado hamjafungua shule tu!!
 
Miaka ishirini unafanya na wasichana tofaut kwel.ukimwi hautatuacha
Typing error madam,lakini kwa miaka hii imeanzakua kawaida,miaka kumi na nane tu mtu anakua amelala na wanawake wengi tu hasa mjini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni mkojo wa kawaida hauwezi kutoka wakati wa tendo... Itakua utamu unamzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…