Kwanini ni hatari CHIKIRA MTABARI? Niliwaho kuona huku mitandaoni watu wanajadili hii topic wadada weusi wenye miaka 55 kwenda juu wanadai wala hawajaona dalili ya mdudu menopause wala kusikia harufu yake. Wanajirusha tu kwa raha zao na yule mgeni bado anakuja kuwasalimia kama kazi bila kukosa. Inawezekana pia ni genes, kujitunza, kuwa na afya njema na baadhi kufanya mazoezi.
Mkuu achana na uchawi wa wazungu, hizo ni image tu akiwa vizuri anazaa mtoto hana shida. Bibi zetu walizaa hao mataahira hatukuwaona afanye mazoezi tu ale vyakula vilaini kama bamia, n. K
Mwanamke Mayai Yake Hutengenezwa Akiwa Bado Yupo Tumboni Na Yanatengenezwa Kwa Idadi ambayoo wanasayansi wanakadiria Kuwa ni kati ya 300 mpk 500 ova(eggs). Na Anapokuwa Amezaliwa Yanakuwa Yamefikia Stage Tunaita Meiosis I. So yanakaa katika Ovary yakiwa katika Stage Hiyo Mpaka Pale Atakapobalehe na Siku Atakapoingia Hedhi ya Kwanza na Bahati Yai lake Likakuatana Na Mbegu ya Kiume basi Linaingua Stage Ya Pili Amabyo ni Meiosis II. Na linakuwa Complete Ovum with 23 chromosome na Ndipo lina Fuse na Sperm. .. kuna Elimu kubwa Hapo Kidogo
Sasa Niliposema Yai lake lina Miaka 45 nilimaanisha Hivyo hapo Juu .maana Yake Hilo yai lake Lililotunga Mimba Akiwa na Miaka 45 lilikuwepo Tumboni mwake Kwa Muda Wote Huo. maana Mwanamke Anatoa Yai Moja Moja Kila Mwezi So yapo Mengi ila Linakomaa Moja Tu na Ndilo linatolewa Nje...
So Kutokana Na Shughuli za Maisha Pamoja Na Genetic Disorder tunazorithi hilo yai Linaweza Likawa limepata Misukosuko Mingi ya Maisha Zikiwemo nilizozitaja Hapo Juu.. Madawa... Chemical .. Vyakula vibovu n.k..
Ingawa Pia Linaweza lisipate Changamoto hizo na Mtoto akawa Vizuri pia... Ingawa kwa Miaka Hii watoto wengi hupata Syndrome nyingi kama Mwanamke Akichelewa Kuzaa mapema
Sky, hili ni swali zuri, please bring a comprehensive answer. Tunakutegemea wewe please!
Nimepata risks hizi
The main issue for older mothers is the increased risk of conceiving a child with a chromosome abnormality, such as Down's syndrome.
You're more likely to have a difficult pregnancy. Pregnancy complications are another concern. In your 40s you're far more likely to develop problems like high blood pressure and diabetes during pregnancy as well as placental problems and birth complications.
You're at higher risk of a small or preterm baby. Women older than 40 are more likely to deliver a low-birth-weight or preterm baby. Stillbirth rates are also higher, and studies show that children born to older mothers may be at increased risk of type 1 diabetes and high blood pressure (though this association isn't strong).
Your partner's sperm is older too. Don't forget about your partner: Although men are physically capable of fathering children in their 60s and even their 70s, sperm quality deteriorates with age. Older men's sperm has a higher rate of genetic defects than younger men's sperm. In recent years, studies have suggested links between the father's age and genetically related conditions such as Down syndrome, schizophrenia, and autism spectrum disorder.