Mwanamke kibonge uko wapi!

Mwanamke kibonge uko wapi!

Dada zangu vibonge fursa kwenu shemeji hana masharti mengi, shemeji hataki hata uwe mwepesi yeye ni uwe kibonge tu.

Kazi kwenu.
 
Unataka umpe kesi mwana wa mwenzio,au ndo style itakuwa Mende na mbuzi kagoma?
 
Haha, ila watu mshavurugwa! Yanii mtu ambae ndo atakua ubavu wako, mtaishi nae miaka yote, hutaki hata kumchunguza!! Hutaki kigezo chochote toka kwake, yaani awe kibonge tu😃😃😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom