Hii ni thread ya wanawake kamili!
Ngoja nione kama kuna atakayejitokeza hapa aseme yeye si kamili......
Woooote watajiita ni wanawake kamili lakini "wizi mtupu".........
Kwa kuongezea hapo kwa Mwanamke kamili...
1. Mwanamke kamili Hashei wanaume, anamiliki kikojoleo kimoja tu cha mwanaume na kukitumia ipasavyo
2. Mwanamke kamili "hamsumbui" hovyo mwanaume kamili anapokuwa anaburudika na bia na wanaume kamili wenzake
3.Mwanamke kamili hana wivu wa kijinga, ili mradi hajawahi kumfumania mwanaume wake, mme wake anabakia kuwa innocent
4. Mwanamke kamili akimfumania mme wake anamsamehe akijua fika kuwa mwanaume kamili hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
5.Mwanamke kamili haangaiki kumchunguza mme wake wala kupekuapekua visivyomhusu kama simu nk
I will always be my dia,Karibu T na hongera sana. Hopefully wa karibu yako wanaku-appreciate!!
Glad to hear that Canta. . . endelea hivyo hivyo.
Tracy kuhisi kwamba na wewe umo ni hatua nzuri, ila jitahidi mpaka ujihakikishie badala ya kuhisi/fikiri.
Definitely unaweza au una sifa za kuwa Mwanamke kamili, kwa sababu unajitambuwa hii ni sifa kuu ya kibinadamu, wengi wamejipachika sifa ya umalaika yaani kwamba wamekamilika ndio maana nyumba hazikaliki siku hizi.Kwa vigezo hivi, definetely AM NOT
I know you are not..........!Kwa vigezo hivi, definetely AM NOT
Hahhahahah!wewe bahati yako nimeoa!
au nibadili dini kuwa muslim nioe wawili?
Hii ni thread ya wanawake kamili!
Ngoja nione kama kuna atakayejitokeza hapa aseme yeye si kamili......
Woooote watajiita ni wanawake kamili lakini "wizi mtupu".........
Kwa kuongezea hapo kwa Mwanamke kamili...
1. Mwanamke kamili Hashei wanaume, anamiliki kikojoleo kimoja tu cha mwanaume na kukitumia ipasavyo
2. Mwanamke kamili "hamsumbui" hovyo mwanaume kamili anapokuwa anaburudika na bia na wanaume kamili wenzake
3.Mwanamke kamili hana wivu wa kijinga, ili mradi hajawahi kumfumania mwanaume wake, mme wake anabakia kuwa innocent
4. Mwanamke kamili akimfumania mme wake anamsamehe akijua fika kuwa mwanaume kamili hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja
5.Mwanamke kamili haangaiki kumchunguza mme wake wala kupekuapekua visivyomhusu kama simu nk
Poa ndugu yangu, heri na kwako pia!Hahhahahah!
Habari yako Henge,
I missed u swaiba vp?
Heri ya mwaka mpya,
Hahahaha,unataka unifanye second choise jaman!!?
Habari yako Kongosho,Hivi mmeziangalia katika 3D? Au mimi huwa na-exaggerate mambo?
Wanaweza ila nimeamua kuangalia kwa upande wa waliopo kwenye mahusiano kwasababu ndivyo nilivyofanya kwa wanaume jana.
Asante swaiba,Poa ndugu yangu, heri na kwako pia!
Nimeshafanya tayali ndugu yangu ni wewe! dini tuu ndo inanizuia nashangaa zamani walikuwa wanaruhusiwa bwana!
Don't THINK, BE!
Habari yako Kongosho,
Aisee ww kwa vile uko kotekote,
Inabidi uiangalie ktk 4D,
Binafsi najitambua ni MWANAMKE KAMAMILI na nimepitiliza hivo vigezo,source-my MWANAUME KAMILI.
duuu afadhali bwana ngoja nianze kuomba na kufunga jamaa akuache!Asante swaiba,
Tatizo ushachelewa,
Kuna mjanja keshanifanya chaguo lake la kwanza aisee!
Labda usubiri km ikitokea nikachika aiseee!
Kwa hayo maelezo, wasio na wenza hawawezi kuwa wanawake kamili!
Mtaani it is then. . unipe tu vigezo vichache ambavyo ni binafsi alafu mi ntazingatia vile ambavyo ni general na nnajua unastahili!!Lolz
Nimejishtukia...
Lakini najiamini