NyotaWaMchezo
Member
- Nov 16, 2013
- 38
- 5
Uzinzi ni uzinzi tu hakuna uzinzi wenye heshima.Amuulize gf wake. Labda aliambiwa?
Na kama wana miaka inayo ruhusu mahusiano kama hayo
basi ni muda wa kutafuta makazi yenye mazingira yanayo ruhusu kufanya hivyo vitu home.
Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu...
Labda madhari ya nje ya ile guest imemshawishi demu kuwa ipo safi hadi ndani, anyway man should keep their manship!
as if ke hawana haki zakuzijua guest wakati zipo kwa ajili yetu sote lolWhat goes around comes around. Kwani huyo jamaa aliwahi kuulizwa na huyo gf kwamba hiyo guest waliyokuwa wanapelekana aliijuaje? Mzinzi wa kwanza (me) kachagua guest hakuna maswali, mzinzi wa pili (ke) kachagua maswali yanaanza.!!
What goes around comes around. Kwani huyo jamaa aliwahi kuulizwa na huyo gf kwamba hiyo guest waliyokuwa wanapelekana aliijuaje?
Mzinzi wa kwanza (me) kachagua guest hakuna maswali, mzinzi wa pili (ke) kachagua maswali yanaanza.!!
Jana jioni nilikuwa nimekaa na rafiki yangu mmoja kwenye sehemu tulivu tunapata kinywaji huku tukiendelea na maongezi. Akanipa story ya girlfriend wake ambaye alikuwa na kawaida ya kufanya nae mapenzi kwenye guest moja maeneo ya ilala, juzi yule GF wake akakataa kwenda kwenye ile guest house kwa madai kwamba haina mazingira mazuri ndani ki2 ambacho anakuwa hayuko comfortable awapo pale so akaomba jamaa atafute guest nyingine yenye mazingira mazuri yaani "self contained". Jamaa akawa amepuuzia maneno ya GF yake, time ilipofika akampeleka kwenye guest ile ile ya siku zote, GF akagoma kuingia badala yake akamwambia jamaa twende huku, jamaa akamfuata demu akampeleka kwenye guest nyingine ambayo ilikuwa imejificha kidogo na ina mazingira yote ambayo alikuwa anamwambia jamaa atafute. Sasa jamaa jamaa ana wasi wasi juu ya huyo demu alijuaje mazingira ya ile guest!!
Sio kila kitu muulize jaman!
Hilo swali angemuuliza huyo Gf wake!
Hivi kuna umuhimu wowote wa kusimuliana mambo kama hayo kwa kigezo cha urafiki?me nilifikir ni wasichana na wavulana ndo wanahadithianaga,kumbe ata wanaume mmmmh!