Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
1.Wa tag watu 100 picha yako kwa facebook, ukipata likes mbili tena kutoka kwa ndugu zako ujue wewe ni mbaya.
2 Mwanaume atajisikia na uhuru pindi akiongea na wewe, sababu atakuona kama wewe ni mmoja wa mwanaume mwenzao. Wenginge watapenda kusikia ushauri wako wa jinsi ya kumuingia msichana mwingine.
3. Kama ujawahi kulipiwa nauli katika daladala au usafiri wowote. Unatakiwa kufanya kitu fulani katika muonekano wako.
4. Kama katika maonyesho ya sanaa shuleni, kanisani. Siku zote wanakupanga ucheze nafasi ya Uchawi, Zimwi au shetani. Tambuwa wewe ni mbaya
5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums kama Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.
6. Wasichana wabaya hawataipenda hii post na wataweza kukoment kwa hasira.
Hahahaaa. Nimecheka sana.
Hivi mkuu unajua Remi Ongala alikua ameoa chombo sana? Ukimuambia yule mzungu kuwa mumewe alkua mbaya
(japo alikua anajisema anaongoza kwa ubaya) atakuelewa kweli? Hahahahhaaa.
Ubaya na uzuri ni relative term aisee. Kinadharia ulichokisema kinakifu flani hivi.
MHM...
5. Wasichana wengi wenye majina mazuri kwenye facebook au jamii forums kama Cute, Diva na yanma hiyo. Ki kawaida ni wabaya.
.
HAJUI LOVE IS BLIND...Hahahaaa. Nimecheka sana.
Hivi mkuu unajua Remi Ongala alikua ameoa chombo sana? Ukimuambia yule mzungu kuwa mumewe alkua mbaya
(japo alikua anajisema anaongoza kwa ubaya) atakuelewa kweli? Hahahahhaaa.
Ubaya na uzuri ni relative term aisee. Kinadharia ulichokisema kinakifu flani hivi.
KWAKO MBAYA WENGINE WANAWEKA NDANI....
NO WOMAN WHO IS UGLY UNIVERSAL....