Mwanamke, jifunze kulala na mume

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
๐Ÿ’•๐Ÿ˜„๐Ÿ‘ˆJIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU๐Ÿ˜„๐Ÿ’ช
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------๐Ÿ˜˜MUME NI MTAMU๐Ÿ˜˜

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘๐ŸพMke nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.๐Ÿ’•๐Ÿ’•
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.๐Ÿ‘‰๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘‰Mwanaume pale mwanamke๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka โ€˜kumkabaโ€™ kwani akilala vibaya๐Ÿ’• akiwa amekukumbatia ataamka akiwa na๐Ÿ’•๐Ÿ’• maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜ Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘‰Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.๐Ÿ’•๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ‘‰Mnapolala na mtoto, mkumbuke๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ kumlaza katikati yenu na muepuke aina za๐Ÿ‘ˆ ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maana๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘‰ wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜„๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mumeโ—& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜sasa alafu chafu๐Ÿ‘๐Ÿพ
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona..

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

Mawigi na mvua na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema โ™ฅ๏ธ Kwani mawigi tuโ“ Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia ๐Ÿ˜๐Ÿ‘ˆ Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaa๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO ๐Ÿ‘ˆ bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ila ukisema ukae tu na natural hair ๐Ÿ˜ anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoa๐Ÿ˜„๐Ÿ‘๐Ÿพ gharama.๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirishe๐Ÿ’•๐Ÿ’• nywele ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Huu ni ujumbe Wa

MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------๐Ÿ˜˜MUME NI MTAMU๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

๐Ÿ’•๐Ÿ’•Mume โค๏ธ ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU ๐Ÿ™ mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ™ Mume ni mtamu ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™Kwa sababu AMEKUPENDA WEWE ๐Ÿ‘‰๐Ÿ˜˜Mwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO โค๏ธ๐Ÿ‘ˆ uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. ๐Ÿ‘‰๐Ÿ’•๐Ÿ’•Lakini wewe
umewapita wote . MUME MTAMU๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

โ™ฅโ™ฅโ™ฅKwa nini ๐Ÿ™„ waruhusu fitinaโ“๐Ÿ‘‚๐Ÿ‘‚ zikwepe MUME NI MTAMU ๐Ÿ˜˜ Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA ๐Ÿ™ moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwaโ—

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•
โ™ฅโ™ฅโ™ฅ
Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawili๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini ๐Ÿ™ MUME ni MTAMU โค๏ธ Umeivua kanzu yako , uivaejeโ“
Umeitawadha miguu uiichafuejeโ“Mpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa Mume๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

โ™ฅโ™ฅโ™ฅ
Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usiku๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ‘ˆ
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala
Mwenyewe ๐Ÿ‘Œโค๏ธ๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu ๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi ๐Ÿ˜˜๐Ÿ‘ˆ TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitext๐Ÿ˜„๐Ÿ’ช nilikuwa ninakucheck tu ๐Ÿ˜ƒ Wife๐Ÿ’ช๐Ÿ˜„๐Ÿ‘ˆ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
Mume ni mtamu ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•

๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜Mume Ni MTAMU ๐Ÿ˜˜๐Ÿ’•

Warudi nyumbani kutoka kazini ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’• unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafu๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜ imepenya kooni ndani ya joto la December.

Jamani ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜˜๐Ÿ’• Mume ni MTAMU
๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ˜˜
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguu๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘‚ shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae.

๐Ÿ”ดNDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE ๐Ÿ™
 
Kidogo niache kusoma uzi mrefu kama twiga.
Ndoa ni kuishi pamoja demi na men au ni Tendon la ndoa ?
 
Ewe Mwanaume Mwenzangu fanya yoooote lakini hakikisha Mkeo analala Upande/Mkono wako wa kushoto au Upande ambao Moyo wako ulipo. Tangu unajenga nyumba au unapangilia kitanda chako hakikisha matoeo yawe hivyo. Wale mliopita Jando mnaelewa nguvu ya dhana hii kimapenzi, Kibaiolojia na hata Kiusalama๐Ÿ“Œ
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.

Mwanaume gani mpumbavu huyo anayelala upande wa ukutani na mkewe alale ukingoni mwa kitanda.???
 
Cc mzabzab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ