Trust nobodyKama utakuwa humwamini mme wako kiasi hicho, yeye kwa nini akuamini? Mtaishi kwa kutoaminiana katika ndoa mpaka lini???
Tafiti zinathibitisha sana kwamba, mwanaume anapohisi kuwa mwanamke fulani anamwonesha kwamba, yeye ni mwanaume kweli kweli, anapoonesha kwamba, anatambua uwepo wake na mchango wake katika familia, mwanaume huanza kumpenda, bila kujali sura au hadhi.
.
Hakuna kitu ambacho wanaume wengi kinawakera kama akiwa anajali na kutekeleza wajibu wake kama mume/bf lakini bado kunakuwa na lack of appreciation! Hapo mwanaume anavunjika sana moyo na inakuwa rahisi sana kuishia kwengineHio paragraph nilo bakisha ndio hua natoa basis kua mwanamke anaweza kabisa mbadilisha mwanaume aelekee ndani ya nyumba (thou not always) for at the end of the day waume zetu wanataka uwaoneshe na wajue una m-appreciate, unajali uwepo wake, unajali mahitaji yake na kwamba wamthamini... End result ni kua anaweza ndio asikupende.... lakini hatasikia neno lolote baya juu yako, au kutoa maamuzi yoyote mabaya juu yako maaana yule mwelewa anajua kabisa kua hio amani anapata hapo sio guranteed toka kwa wanawake wooote...
Unapoishi nyumbani na ndugu yako, jamaa yako au hata mtumishi wa kike, ni vizuri ukajitahidi kulinda ndoa yako. Kumbuka kwamba, wanaume hawajali hisia, hujali zaidi mwili. Kama ukimwachia ndugu yako, jamaa au rafiki yako kumzoea sana mumeo, jua tu kwamba, inawezekana unajitengenezea maumivu makubwa sana hapo baadae.
Tafiti zinathibitisha sana kwamba, mwanaume anapohisi kuwa mwanamke fulani anamwonesha kwamba, yeye ni mwanaume kweli kweli, anapoonesha kwamba, anatambua uwepo wake na mchango wake katika familia, mwanaume huanza kumpenda, bila kujali sura au hadhi.
Kama ndugu yako ni mjuaji wa mambo haya, anaweza kumwonesha mumeo kwamba, anaamini kuwa ni mwanaume kwelikweli. Hii hufanyika kwa kumsifu, kutopingana naye, kumpongeza mara kwa mara na kumwonesha kwamba anaamini katika yeye.
Hata wale watumishi wa ndani, wanaochukuliwa na wanaume za watu hawafanyi hivyo kwa sababu, ati hao watumishi ni wazuri sana wa sura au wanajua sana mapenzi, hapana.
Wanaume huwachukua kwa sababu, wake au wapenzi wa wanaume hao wameshindwa wajibu wao, wameshindwa kujua kwamba wanaume hutazama uhusiano kwa jicho tofauti.
Lakini, iwe ndugu au jamaa zenu na hata watumishi majumbani mwenu, bado na wao ni binadamu, wana udhaifu. Kwa udhaifu wao, pamoja na udhaifu wa wanaume au wapenzi wenu, wanaweza kuwasaliti. Kwa hiyo ni juu yenu kulinda ndoa zenu, ili udhaifu huo usiwe chanzo kwa kuvunjika kwa matumaini na matarajio yenu ya kujenga familia.
Kuna mambo mawili makubwa hapa, kwanza inawezwekana mmejiachia wazi sana kama wanawake na kusahau kuwa wanaume huvutiwa na mambo gani.
Kwa hali hiyo, mnawaacha wale walio karibu nao kuwafanyia yale wanayohitaji na kuchukua nafasi zenu.
Lakini pili, ni udhaifu wa kibinadamu na zaidi kwa wanaume, linapokuja suala la mwili. Kwa udhaifu huo, inabidi muwasaidie kuwalinda wasishawishiwe kirahisi. Lakini, ndugu zenu wa kike au watumishi mnaoishi nao, inabidi muwakague vizuri na kuacha kuwamini kupita kiasi kwa waume au wapenzi wenu.
Ni hatari sana kwa mwanamke kwa mfano, kumwambia au kumruhusu mumewe aende sehemu za starehe na rafiki yake wa kike au na ndugu yake wa kike, ati kwa sababu anamwamini rafiki huyo au mumewe. Kumbuka, suala hapa sio kuaminika au kutoaminika, bali ukweli wa kimaumbile pia. Mwanamke, chunga ndoa yako, ilinde sana, kwani sio dhambi.
Hakuna kitu ambacho wanaume wengi kinawakera kama akiwa anajali na kutekeleza wajibu wake kama mume/bf lakini bado kunakuwa na lack of appreciation! Hapo mwanaume anavunjika sana moyo na inakuwa rahisi sana kuishia kwengine
kweli kabisa Adi, mana tukishaona tunathaminiwa basi hata rungu linapunguza fujo, linakua linataka mtu maalum tu na kwa muda maalum.Hio paragraph nilo bakisha ndio hua natoa basis kua mwanamke anaweza kabisa mbadilisha mwanaume aelekee ndani ya nyumba (thou not always) for at the end of the day waume zetu wanataka uwaoneshe na wajue una m-appreciate, unajali uwepo wake, unajali mahitaji yake na kwamba wamthamini... End result ni kua anaweza ndio asikupende.... lakini hatasikia neno lolote baya juu yako, au kutoa maamuzi yoyote mabaya juu yako maaana yule mwelewa anajua kabisa kua hio amani anapata hapo sio guranteed toka kwa wanawake wooote...
Mapenzi ya dhati yameenda wapi siku hizi? Kama kweli unampenda mwenzio na yeye anakupenda, je ni kwa nini kuwe na lapses kama hizo eti oooh sijui mume katembea na house maid, ama mke kakumbushia old flame?
Inasikitisha sana morals hakuna kabisa siku hizi hata kwa waliofunga pingu za maisha!
umejitahidi kumpotray mwanaume ni kiumbe dhaifu,ukweli ni kwamba mwanaume ni mwenye nguvu zaidi na ana uwezo sana wa kucontrol hisia zake....we both men and women have equal rensponsibilities kufanya kila jitihada ndoa zetu zidumu sio jukumu la mwanamke pekee kama unavyotaka kutuaminisha hapa.