kuna mengi ya kusema ukiwa na hasira... na huwa yanakuwa ya ukweli kabisa...
hivyo huyo baba kama mwanadamu inamuuma hayo maneno... sijaona alichokosea... huyo mdada arud kwao tu
.....
Upo sahihi mkuu, Huyo mwanaume angekuwa na pesa, huyo mwanamke asingetamka hayo maneno. Haijalishi kama huyo mtoto ni huyo mume wake Au siyo wake.
Aiseee kweli kuna watu wavumilivu.yani hapo kuna namna kwanin mwanaume ni mzito kuchukua hatua.n way mwanaume kuwa na koo(kifua) alijisemea mkude simba
Huo ukawaida unaouongelea zamiruni ni upi?wanasema mambo yakimkuta mwenzio ni rahisi Sn kuyapima.nyie ndio huwa hamchelewi kuruka chemp mpk mwenyekiti Wa mtaa aje kuamua