Mwanamke huyu unamfanyaje?

Hadi post #20 sijaona proposal ya DNA
 
Makubaliano Yao. Uenda mwanamme analijua Hilo na Ndio maana ugomvi wa Kwanza alikausha tu.

Na kuwatimua si sahihi ktk hali ya hasira angesubiri wakitulia amuulize na ndipo Atoe maamuzi.
 
Kawaida ninavyojua mimi, maneno yanayotamkwa wakati wa hasira huwa yana ukweli kwa kiasi kiubwa in case yakifanyiwa upelelezi wa kina..

Hilo suala lifanyiwe uchunguzi wa kina likiwa bado bichi.. ipo siku mtu ataumbuka!

Yanafanana na yale yanayotamkwa mtu anapokuwa kalewa!
 

Mwanamke yuko sahihi yawezekana anajua madhaifu ya mmewe hadi akaamua kuleta mtoto wa nje, sio wakuingilia hao
 
Hadi post #20 sijaona proposal ya DNA

toka nausikia huu ugomvi jana nilifikiria wangefanya dna test lakin nazan cost pia inaweza kuwa ishu na awareness.
 
Mwanamke yuko sahihi yawezekana anajua madhaifu ya mmewe hadi akaamua kuleta mtoto wa nje, sio wakuingilia hao

shida ni kwamba huyu mtoto ndo victim mkubwa wa huu ugomvi sababu hata huyo baba halisi pengine hamfahamu.
 
Makubaliano Yao. Uenda mwanamme analijua Hilo na Ndio maana ugomvi wa Kwanza alikausha tu.

Na kuwatimua si sahihi ktk hali ya hasira angesubiri wakitulia amuulize na ndipo Atoe maamuzi.
akitulia anadai ni hasira tu kuongea vile...
 
Napenda mara moja moja kumuudhi nimpendaye(nafahamu namna ya kumshusha hasira)
kwa sababu hasira hufanya mtu kunena yaliyomo katika nafsi yake na yaliyo ya kweli kabisa..
Pengine huyo mwanamke katumia tafsida huyo mwanaume hamfanyi vilivyo kummimbisha au ni kweli huyo mtoto ana baba yake...
 
ndoa haipo, hakuna changamoto kwa mwanamme kama kulea mamluki wakati yeye hana wake.
 
Siku zote anaejjua mtoto ni wa nani ni mwanamke
 

Haa, lakini usikate tamaa, utamu wa ngoma ingia ucheze
 

Kwa nini mwanamke huyu anakuwa na ugomvi na mumewe kila mara, je aina ya ugomvi wenye ni ipi? nini chanzo chake? Kabla hatuja hukumu kauli za huyu mwenzetu ni busara kujibu maswali haya na kukimbia mbali zaidi ...nini maana ya hasira na yapi matendo yanayo weza kujitokeza ukiwa kwenye peak of losing your temper?
 
sio halali kabisaaa ningekuwa huyo mwanaume ningemkung'uta huyo bi dada hadi afurahi na roho yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…