Mwanamke huyu sio liziki kabisa!

Mwanamke huyu sio liziki kabisa!

Habari Marafiki wa Jf poleni na majukumu ya kila siku,
Jana usiku bana mwenzenu nilipata kizungumkuti na Halimashauli yangu ya kichwa kuvurugika kabisa.
Ni baada ya kujituliza kwa muda kidogo baada ya kutokea kwa yaliyotekea kwa mpendwa wangu wa mwanzo. Hatimaye nimeangukia pua tena!
Iko hivi..... Miezi kama mitatu iliyopita nilikuwa nikimsotea binti mmoja mkali mno ukimuona kama we lijali lazima ushituke!
Tumeenda mpaka tukakubariana
kilichonifanya niandike hapa Jana jioni alini Promisi kwamba anakuja Home kwangu Nilimtumia nauli akaja kweli. Baada ya diner nikaanza mazoezi na mbwembwe kabla ya Mechi kuanza Nimepiga tizi kali vibaya mno nikiwa na furaha
Ajabu nikiwa kwenye harakati akaniambia yupo BLEED nilivocheki nikadhibisha kweli nikamuliza Kwanini umekuja ukiwa hivi na kwanini hujaniambia mi napiga jalamba uko kimya tu?
Akanijibu Hakihabiliki kitu kuwa huru kufanya lolote! Kauli hii ikanistua, Nikauliza tena Niwe huru kivipi na kufanya lolote lipi?
Akasema kama hautojali ntakupa mbadala akimanisha 071....! Nilichoka mzee akanywea nguvu zote zikaisha nikataka nimfukuze usiku ule ila basi nikona ngoja nilale tu!
Asubuhi nimeamka nikaenda kazini nimemuacha nyumbani bila hata sh. Kumi. Kazini leo sikuwa vizuri namwazia huyu ibilisi gani tena ananitafuta nini mimi jamani!
Narudi hom sasa Kutoka job nawaza nikampe tu nauli asepe Sijui kama ntakuwa nimekosea Nishaurini wana Jukwaa!

Hebu act like mtu aliye kuwa yani unakurupuk bila kujua gal ni mtu wa aina gani ulitakiwa katk maongez yenu umchimbe humjue kam ana penda aina gan ya sex if ni anal oral or vyovyot cz dunia imechange sana...its bettr umjue mtu in n out bfore kuend nae faragh angeipelek bila kujua jeee...
 
ww upo polisi au jeshi gani vile?coz nasikia mapoti malaya kinoma!
 
Kwanza pole kwa yaliyo kukuta pili kwani mwanamke akiwa kwenye siku zake hawezi kumtembelea boyfriend wake???? Kwani lazima kila unapotembelewa na girl friend wako mfanye mapenzi tu???
 
mh! makubwaaaa!!! mbona majangaaa!! hem kamuombee sala ya toba kwanzaaa! hilo ni pepo mnyororo kabisaa
 
kwani mtu akija kukutembelea gheto lazma umtyampe? acha dhana potofu huenda alimic presence yako akaamua kuja kupiga story na wewe.
 
Kwanza pole kwa yaliyo kukuta pili kwani mwanamke akiwa kwenye siku zake hawezi kumtembelea boyfriend wake???? Kwani lazima kila unapotembelewa na girl friend wako mfanye mapenzi tu???

Hayo ndio mambo Ambayo hata viongoz wetu wa siasa wanakemea matumizi mabaya ya rasilimali na pesa.
Yaani aje ale tu hajatoa hatA mzigo!!???
Mkuu siku nyingine unamuuliza huko huko kabla hajaja, vipi tumbo letu? Kiuno vipi leo?
 
I gues tope lishafukuliwa kwa kujiungia extreem na kuenndesha meli topeni,hapa ni kutaka mawazo ya watu ujue wenye mawazo firauni tu ka hayo...regret
 
mletw kwangu kaka.......ntakutunzia mpaka pale bleed itakapoisha...lol
 
Kwanza pole kwa yaliyo kukuta pili kwani mwanamke akiwa kwenye siku zake hawezi kumtembelea boyfriend wake???? Kwani lazima kila unapotembelewa na girl friend wako mfanye mapenzi tu???

galfrnd akija geto kitu cha kwanza ni kupigwa mashine then stor ndo znafuata......... Kwan mi kakaake wewe vp??
 
Aisee!! Najiuliza tu!! Huo mdude unapitapitaje huko takani afu unakuwa umetulia ama? Aisee! Kweli sodoma na gomora!!
 
Mungu leta ghalika kuu!! Ila miye ntakuwa nuhu !!!
 
Back
Top Bottom