Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,304 Reaction score 11,642 Feb 28, 2015 #81 mdukuzi said: sema ndivyo walivyo wanawake wa kichaga Click to expand... Mmh kumbe wanawake wa kichaga ndo dawa yako maana inaonekana unawaogopa sana njoo kwangu nikulee baba
mdukuzi said: sema ndivyo walivyo wanawake wa kichaga Click to expand... Mmh kumbe wanawake wa kichaga ndo dawa yako maana inaonekana unawaogopa sana njoo kwangu nikulee baba
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,145 Reaction score 17,637 Feb 28, 2015 #82 Wa kiume ni wengi....wanaume wachache.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,641 Reaction score 19,032 Feb 28, 2015 #83 Tia mimba ndio dawa....
mwanzo wetu JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 1,587 Reaction score 466 Feb 28, 2015 #84 Wala humupendi coz ungekuwa unampenda licha ya matatizo yake usinge chepuka mtoa mada.
U UWOGA=UMASKINI JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 2,400 Reaction score 1,019 Feb 28, 2015 Thread starter #85 nilukuwa nataka jua huwa simrithidhi kwa kazi yangu kumbe ilikuwa kiburi chake tu