leo ndo nimeamini kwamba kama ilivyo jamii iliyotuzunguka basi halikadhalika na jf/mmu ni full mfumo dume,too sad.
Wakuu hebu put this in reverse,hivi ingekuwa anayekata ulabu ni njemba na aliyelalamika kuhusu unywaji wa mchumba ni msichana,hivi kuna mtu angenyanyua mdomo kusema waachane? Why?,nauliza why? Wote mlioshauri waachane nijibuni hili swali why? Mme kunywa na kuvuta fegi halal kwa mwanamke haram? Haki kweli?
Ushauri wangu kwa mtoa mada,go ahead and marry her,you will live happily thereafter,asikuzengue mtu,you love her marry her,period,kwani pombe nini bana.