Mwanamke huyu ana mapepo

jamani kweli mdogo wangu??? uwiiiiiiiii sijui atasema ameona nafaidi nini lol!

to be frank ni bora mume akamwambia bi mkubwa kisha bi mkubwa kama anakili kama zangu anasepa tartibuuuu......... awaachie nafasi wapendanao basiii.

mm na mdogo wangu tushee pillow i cant aisee......
 
najaribu kufikiria siku mapepo yakifa yatachomewa moto gani?kila kitu ni wao tu

dhambi nyingine hata mapepo yanasema kabisa hawazijui mkuu tena wanafanya kushangaa kabisa kwamba ni ngeni chezea binadamu wewe.......................
 

jamani hiki kiingereza mmmh! but snowhite atanisaidia hapa manake japo naunga ama nakizimulia na nyagi but hiki kiboko.
 
Last edited by a moderator:


Mh sidhani kama dada mtu atalikubali hilo.
 
Kuna jamaa yangu naye alikuwa anakula shemeji yako! Kisa kilianza hivi, baada ya kumaliza kidato cha nne kule Mwembe Togwa sec, binti alikuja Dar kuishi kwa dada yake akiwa anasubili matokeo ya kidato cha nne, baada ya miezi kadhaa kupita, dada mtu akashangaa kuona mdogo wake anatapika ovyo, hapendi kula n.k ndipo akawa na wasiwasi, kwenda Amana kumpima, akakuta anamimba ya miezi 2! Alipo ulizwa ya nani, akasema ya shemeji yake, bwana nae akakubali, bi mkubwa akabwaga manyaga na kumwachia nyumba mdogo mtu! Hoja hapa ni kuwa, mambo haya hapo sana huku mtaani, watu hawasemi tu!
 
Mh sidhani kama dada mtu atalikubali hilo.

Hilo litategemeana sana na mila za kabila lao, japo mwanzo litamsumbua lakini baadaye watalizoea so long as mwanaume kama atakuwa na uwezo wa kui handle hiyo situation, si kampenda mdogo mtu?? Jamaa amwambie ukweli tuu mkewe na usikute akakubaliwa au wakafikia muafaka wa kueleweka.
 
Kama kweli ana nia ya kutafuta suluhu ya tatizo hili, "AMWAMBIE DADA YAKE UKWELI kwamba ana mahusiano na Shemeji yake..." vinginevyo she is proud of what is going on...
 
This is crazy thing going on in the back of"secret"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…