Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
kwani hakuzaa? watoto ni alama piaMarilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Maarifa ya Albert Einstein yanajulikana. Tupe ya Marilyn Monroe nayo tuyajue.Aliyekuambia hakutumia maarifa yake ni nani?
Yafaa nini kupenda na kutamani waliokufaMzuri, ananifaa
People have different interest, Marylin was well versed in literature and arts. Alisoma vyuo ambavyo watu wenye akili ndogo hawasomi, unamchukuliaje poa?Maarifa ya Albert Einstein yanajulikana. Tupe ya Marilyn Monroe nayo tuyajue.
Tupe mchango wake kwa Jamii yake au kwenye hiyo Literature aliyosoma.People have different interest, Marylin was well versed in literature. Alisoma vyuo ambavyo watu wenye akili ndogo hawasomi, unamchukuliaje poa?
Oya mwanangu, hujui mchango wa arts katika jamii au unajitoa ufaham?Tupe mchango wake kwa Jamii yake au kwenye hiyo Literature aliyosoma.
Wa Marilyn Monroe specifically. Kama uhujui, potezea.Oya mwanangu, hujui mchango wa arts katika jamii au unajitoa ufaham?
Tuoneshe full picture. Sura tumeikubali, bado upande wa chini🤣🤣🤣Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake.
View attachment 3393289Na hii ni moja ya mifano tosha kwamba unaweza kuwa na maarifa makubwa sana ,Na ukashindwa kuyatumia hadi muda unaondoka duniani Naaam
Hapana ila ni beauty icon. Na alikuwa analiwa na watu mashuhuri tu. Hata rais J. F. Kennedy alipita naye....HUYU HAKUNA MCHEZA VIDEO ZA HOVYO KWELI?Au NI MONROE MWINGINE YULE🤔🤔