Nimekumiss sheli... [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Sizitaki mbichi hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siyo kila anayetongozwa kapendwa, sometimes nyege tu..Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!
Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!
Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Na sio kila anayetongozwa lazima akubali, ni misimamo tuu!Siyo kila anayetongozwa kapendwa, sometimes nyege tu..
Tumekuelewa blaza....Ukimtongoza akakukataa kubali kuwa kakataa, sio sababu hajakuvutia basi ndo akukubali sababu umemuonea huruma!!
Wakati unamtongoza sidhani kama ulimwambia unampa kampani sababu ya sura ya babake!!
Lakini, heshimu maamuzi ya mtu, usikejeli uumbaji wa Mungu. Kufanana na baba zetu isiwe tabu!
Wewe huoni yule ni mrembo, miss Tanzania wa miaka hiyoKwahiyo wewe Wema Sepetu kwako ndio the best?