Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Dah! huko ndo wanaishi wale madame kama yule walofumwa pamoja na mejakunta au sioHuko akina Swaumu, Sikitu, Kisa ni kawaida[emoji23][emoji23][emoji23] hao lazma wakusumbue sana!
Hebu sogelea maeneo ya akina Melissa, Joyceline, Brenda, Lily uone namna ambavyo Mungu ni wa ajabu!
Kweli ila kwanini aniombe kama DeniHapo unakuta anaomba buku 10 ya vocha lakini unamkazia.
Wanawake wa aina hii huwa hawana vizinga vikali sana, buku 10 akizidisha sana 50k
Ni nomaUnalinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh oya connection lipo?😂 nisogezee mwanangu😅Dah! huko ndo wanaishi wale madame kama yule walofumwa pamoja na mejakunta au sio
Dah! dogo alijipakulia minyama mwananguEeh oya connection lipo?[emoji23] nisogezee mwanangu[emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji3][emoji1787] lakinii si ulimuahidi mwenyeweHabari wakuu
Haya mambo ndio maana sitaki kabisa kujiweka karibu na mambo ya mahusiano na mwanamke kwa sasa maana ni full lawama kama mnadaiana vile[emoji34]View attachment 2048064
Swaumu hili jina linamanisha njaaIla kweli mkuu umenikumbusha
Kuna rafiki yake na Ex wangu nae alikua anaitwa Swaumu
Yani hata ule uoga wa kwamba mimi ni shem hakakua nao hadi tulikorofishana kisa mizinga.
amina washenzi sana ombaomba mnoNa mm nina jini moja linaitwa amina aisee huyo wako ana nafuuu mshenzi yule anaweza akatuma msg hata 50 anakumbushia ahadi na cjibu ila hakomi
Habari wakuu
Haya mambo ndio maana sitaki kabisa kujiweka karibu na mambo ya mahusiano na mwanamke kwa sasa maana ni full lawama kama mnadaiana vile[emoji34]View attachment 2048064