Mwanamke hawezi kukusaliti kama unatimiza haya

namriny

Senior Member
Mar 21, 2020
172
186
Yaani kwa kifupi sisi wanawake tumejaliwa kupenda kwa dhati, wanaume ndio wanasababisha mwanamke awe msaliti,

Wewe kama una mpenzi/ mke/ mchumba/f anya yafuatayo, kwanza kabisa
- Mpende mwanamke wako,
- Msifie kila wakati,
- Mpe maneno matamu mda wote,
- Hata kama uko bize kias gani hakikisha unajitahidi unatuma msg au hata unampgia, msg tamutamu
- Muhudumie hata kama huna uwezo kivile hakksha unampa zawad zawad yaan
- Mwisho mpe hela ya matumizi na wakati unampa mpe kwa maneno matamu
My friend hutakaa uachwe, wala kusalitiwa
 
Mwanamke anayejitambua, anayejiheshimu na wife material huwa hawazii masuala hayo ya kumsaliti mume wake hata kama atakosa mambo yote uliyo yaeleza hapo juu.

Tena badala yake, unakuta ni yeye ndiye anayemfanyia mume wake baadhi ya hayo mambo uliyo yaeleza. Niamini mimi maana ninaongea through experience! Na hapo ndipo tofauti kati ya MKE dhidi ya MKE MWEMA inapotokea.
 
Sio kweli hata kidogo ..hzo haziwezi kua sababu pekee za kumfacha asichepuke ...coz unataka kuniambia huko anapoenda kuchepuka anafuata hzo sababu ulizozitoa ... Na vp kwa mademu wenye mabwana zaid ya wawili ...

One love
 
Back
Top Bottom