Aisee nachukia ile haliBraza kwanza inaonyesha bado hamna uzoefu kwenye hizo mambo!!
Huyo mdada anayoyafanya unaweza kukuta ni sababu ya huo ujauzito, mimba inabadilisha tabia za wanawake! Kuna ambao wakiwa wajawazito hawataki kbs kumuona mume wa ndoa, kwa hiyo weka uvumilivu mbele, akishajifungua kisirani chote kitaisha!!
sio ""kwamb a ana mnyima ""..hana hela yakumpa kwa sasa..""".kutokana na halo "YAKE ya uchumi"" kupigwa"""kasia LA dhiki ....¡!!!usimnyime kitu anachotaka mjamzito jamani
Ndio dawa....Kaa kimya mzee baba tuone kama hajanyooka huyo