hata aliyejenga kwao kwa siri unaweza kumbana kwa staili hii ukafanikiwa!!Mbinu kubwa ya kuzishinda hizo silaha ni hoja nzito tu.
Hoja ndio silaha kubwa sana ya kumshinda mwanamke.
Mtu unamweka ndani ya kumi na nane kila kitu kitakuwa peupe
Kilio hata wanaume siku hizi ni hodari kweli. Halafu uongo mbona ni middle name yao.
Badala ya meno, nyie mwatumia, vichwa, vibao na ngumi; wachache hutumia kichwa kidogo kikishirikiana na vitenis. Source Kongosho