Mwanamke hapendi kukata kiuno halafu ananiganda

Leo umeamkia mkono upi? mara nataka kuoa sina kitu mara hajui kukata kiuno. Duuh ama kweli technolojia inakuja na mambo leo.
 

inaonyesha wewe ni 'stylist'
 
Hamna kujiua wala nin,hayo ni maneno wanayoyatoa ili usimuache wala usifikirie kumuacha ila in reality hamna kujiua wala nin.Embu taja alphabet ya kwanza la jina la huyo dada mana nshawahi kukutana na kisanga hicho hicho ila ndio hivo,siku ikifika then huwez zuia
 
yah!!! mkuu kama vp kata tu wewe inatosha imeandikwa mwanamke atawaacha wazazi wake na kuungana na mwanamme kuwa mwili mmoja hivyo kama mmekuwa mwili mmoja ukikata wewe ndo kashakata yeye upo hapo!!!!
kuna swali la nyongeza....!!!?
 

Mkuu unataka kuanzisha bendi ili awe miongoni mwa wanenguaji wako? hebu nambie hizo staili tatu anazopenda ni zipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…