Mwanamke hapendi kukata kiuno halafu ananiganda


Kama yeye hataki kukata viuno basi si ukate wewe?!
 
Mkuu wewe unajua mavituzi kitandani au unamsingizia huyo dada tu... alafu kwahiyo wewe ili mradi mwanamke tu haujali chochote isipokuwa akijua kukata mauno kitandani ndo anafaa kuolewa... haya ushauri huu hapa: jaribu kutafuta sababu ya msingi ambayo unaweza kuamua kumuoa au kutomuoa na sio sababu ya kutojua kukata mauno kitandani...
 
hahahaaa kwani we unapenda staili gani nyingine hizo aiseee :A S-eek::A S-eek:... funguka nasi ndo tutakupa ma-answers ya kutosha!
 
wakongo mani naskia huwa wanakata kweli sasa na ww kata ili ujipe raha uitakayo,unataka kumkunja mwenzako kama mko olimpiki kuruka viunzi na kucheza sarakasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…