Mwanamke hapendi kukata kiuno halafu ananiganda


Mzee unajadili kumuoa kwa sababu ya staili??nina mashaka mno...wenzako tuliangalia kuanzia Tabia,uaminifu na mengineyo lakini sio staili ya kuwa faragha....kwan ukishamuoa itakuwa ni uchambuzi wa staili tuu au familia (watoto)wanatafutwa kwa staili tuu??
 
:hail::hail::hail::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::bump:
 

Bwana weye una mambo mengi kama unga wa ngano,wewe kiuno unaweza kukikata? kinakatwaje? na hizo style nyingi kwanini usimueleweshe kwa mapenzi na huba kama kweli unampenda? usishindwe nakupika ukasingizia moshi,kama umesha mshiba muache aende Hawara hana Talaka...............
 


wewe kicheche tukushauri nini? la muhimu kwako ni kumwamini Yesu Kristo Mnazarethi atakurehemu na kukusamehe uovu wako nawe utakuwa kiumbe kipya.
 
Nenda nae taratibu. Umfundishe hizo style unazotaka, atazipendea tu kadiri siku zitakavyoendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…