Kuacha kabisa kujihusisha na mapenzi na hicho kimdoli.Nashukuru ila huo mbadala,mbona hujausema??
Kuacha kabisa kujihusisha na mapenzi na hicho kimdoli.
Tatizo la kutofika kileleni ni la wanawake wengi na linachangiwa pia ufundi duni wa sisi wanaume.
Ukimpata bf jaribu kumfanya ajue wapi pa kushika, kuchezea, ili usikie raha na ufike huko eldoret, wewe ndo unaujua mwili wako...
Sasa saivi nimewapa wanaume likizo,
How do I satisfy my sexual desires??
you've decided to abstain from sex, then let it be a total abstinence...
Ukishindwa kujizuia tafuta mtu, mpende, muonyeshe nini afanye ili upate raha. Ukiendelea Na mdoli nakuhakikishia itaisikia oegasm kwa wenzako.
Orgasm siezi isikia kwa wenzangu ilhali Kidildo changu kinanifikisha,
Sijaona mwanaume wa kumpenda tena kwa kizazi hiki,
Walobaki ni Hit en Run.
Sasa saivi nimewapa wanaume likizo,
How do I satisfy my sexual desires??
Wewe umeshindikana kabisa angalie usije kuwasaga na wenzio huko unakoelekea. Ukitaka mwanaume siku hizi lazima ujipange mko wengi siku hizi....kidoli mwisho miaka 40 uzeeni kuna upweke ujue ooh!!!
Sasa saivi nimewapa wanaume likizo,
How do I satisfy my sexual desires??
Wandugu za miaka,
Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma na kufuatilia ushauri mbalimbali kutoka kwa marafiki na wanaojiita wataalam wa mahusiano nikijaribu kujipatia maarifa namna ya kumridhisha mwanamke na kumfanya akuwazie muda wote.
Sasa nimekamilisha na chukua hii kutoka kwangu, wanaume wengi hudhani kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kufikia kilele ndio kumridhisha mwanamke, na pia wanaamini mwanamke ukimgeuzageuza ndio kummaliza kimapenzi. Kiukweli nilifanya haya yote ila sikuweza kuona ukweli mpaka nilipoamua kushughulika kitafiti, na hivi ndivyo nilivyofikia mjumuisho;
1. Mwanamke kama ilivyo kwa mwanamme starehe ya tendo la ndoa huwa la burudani akifikia kileleni. Hivyo iwe ndani ya dakika 5 au zaidi lazima mwisho wake afikie kilele. Hata kama utafanikiwa kumfikisha kunako husika ndani ya dakika mbili inatosha kumfanya akuabudu.
2. Wanawake wengi waliopata bahati ya kufikishwa ndani ya muda mfupi wamekiri kufurahia tendo kuliko walio chezeshwa segere kwa saa nzima na kuambuliwa msuguo wa joto pasipo kufikia kilele. Na mara nyingi tendo la ndoa likizidi dakika 30 huwa ni karaha kwa mwanamke na huondoa hisia zote hivyo uwezekano wa kufikia kilele hupotea kabisa.
3. Ukitumia muda mwingi kumchezea na muda mchache kumfikisha utakuwa umemmaliza kabisa mtoto wa kike. Wanaume wengi hudhani kumchezea ni lazima iwe kumnyonya kisimi, hiyo ipo lakini kubwa ni kufikia sehemu ambazo hajui kama utafika "surprise visit" kwa mfano unyayoni, chini ya magotini, kwenye viganja vya mikono na hata kunyonya nyama za makalio.
Basi amini nawaambia ukiweza kuzingatia theory hii fupi wewe utawekwa kichwani na mwanamke wa aina yoyote. Angalizo, huduma kwa mwanamke ipo pale pale huo ni wajibu wa kiroho mjomba usikwepe kisa umefanikiwa kumridhisha kimwili...njaa ni adui wa mapenzi.:wave:
I will have to die first before becoming a Lesbian,
Kwani nani alifanya utafiti na kugundua kuwa Sex ni Source Ya Upweke??
Hata nikifikia hiyo 40Yrs,Libido itakuwa ishaisha
Sio upweke wa kukosa sex, Bali kuwa Na mtu wa karibu, mwanaume anayekujali. Ukiendelea Na yako kamchezo moyo wako utaishia kuwachukia wanaume, at the end you will be miserable coz no one will be there for you...
Acha basi nitafute kwenye moyo kama nimebakiza kaupendo hata kadogo nianzishe mahusiano,nsije kuwa miserable,
Ahsanteee....funguka basi kilichokufurahisha
wala sikulala mkuu, ila hadi sasa niko usingizini. nasinzia nikimuwaza
Acha basi nitafute kwenye moyo kama nimebakiza kaupendo hata kadogo nianzishe mahusiano,nsije kuwa miserable,
Angalizo, huduma kwa mwanamke ipo pale pale huo ni wajibu wa kiroho mjomba usikwepe kisa umefanikiwa kumridhisha kimwili...njaa ni adui wa mapenzi
dada mkubwa angalia usije ukaangukia kwenye mikono ya wahuni wa mujini matokeo yake ikawa hata hako kaupendo kadogo ukakapoteza itakuwa dah! hakyanan ntalia! be careful on ya steps.