Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

Mwanamke hahitaji muda mrefu kuandaliwa

fiksiman

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2008
Posts
402
Reaction score
107
Wandugu za miaka,

Nimerejea katika jukwaa hili baada ya kukaa mbali kwa muda nikifanya utafiti namna ya kumfanya mwanamke atulizane katika uhusiano. Niseme wazi tu muda mrefu nimekuwa nikisoma na kufuatilia ushauri mbalimbali kutoka kwa marafiki na wanaojiita wataalam wa mahusiano nikijaribu kujipatia maarifa namna ya kumridhisha mwanamke na kumfanya akuwazie muda wote.

Sasa nimekamilisha na chukua hii kutoka kwangu, wanaume wengi hudhani kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kufikia kilele ndio kumridhisha mwanamke, na pia wanaamini mwanamke ukimgeuzageuza ndio kummaliza kimapenzi. Kiukweli nilifanya haya yote ila sikuweza kuona ukweli mpaka nilipoamua kushughulika kitafiti, na hivi ndivyo nilivyofikia mjumuisho;

1. Mwanamke kama ilivyo kwa mwanamme starehe ya tendo la ndoa huwa la burudani akifikia kileleni. Hivyo iwe ndani ya dakika 5 au zaidi lazima mwisho wake afikie kilele. Hata kama utafanikiwa kumfikisha kunako husika ndani ya dakika mbili inatosha kumfanya akuabudu.

2. Wanawake wengi waliopata bahati ya kufikishwa ndani ya muda mfupi wamekiri kufurahia tendo kuliko walio chezeshwa segere kwa saa nzima na kuambuliwa msuguo wa joto pasipo kufikia kilele. Na mara nyingi tendo la ndoa likizidi dakika 30 huwa ni karaha kwa mwanamke na huondoa hisia zote hivyo uwezekano wa kufikia kilele hupotea kabisa.

3. Ukitumia muda mwingi kumchezea na muda mchache kumfikisha utakuwa umemmaliza kabisa mtoto wa kike. Wanaume wengi hudhani kumchezea ni lazima iwe kumnyonya kisimi, hiyo ipo lakini kubwa ni kufikia sehemu ambazo hajui kama utafika "surprise visit" kwa mfano unyayoni, chini ya magotini, kwenye viganja vya mikono na hata kunyonya nyama za makalio.

Basi amini nawaambia ukiweza kuzingatia theory hii fupi wewe utawekwa kichwani na mwanamke wa aina yoyote. Angalizo, huduma kwa mwanamke ipo pale pale huo ni wajibu wa kiroho mjomba usikwepe kisa umefanikiwa kumridhisha kimwili...njaa ni adui wa mapenzi.:wave:
 
jipe moyo,wanawake wametofautiana bro hakuna system moja ktka hlo

Wametofautina nini kaka, tupe uzoefu wako...kuna mwanamke anataka kuchezeshwa segere bila kufikia kilele? Na kama hilo ndo lengo unafikiri utakuwa na daraja gani kama ukimfikisha bila kumshughulisha sana? Uzoefu unaonyesha ni wanaume wachache wanaweza kumfikisha mwanamke kileleni katika kila tendo yaani kama kwa siku mkifanya zaid ya mara moja ni nadra kumfikisha kila tendo.Sasa ukifanikiwa kumfikisha kila tendo wewe ni guru na hutaachika hata ukutwe red handed.
 
na hata kunyonya nyama za makalio:[/QUOTE]




Sasa hapo si ndo mwanzo wa kufanya ile michezo ya kifirauni
 
ni kweli kabisa....narudia tena hakuna kitu kibaya kwenye ulimwengu wa mapenzi kama kutomfikisha mwanamke ambaye unampenda ...kunako...tumia mbinu zote salama ...lakini uhakikisha mkilala au kupumzika mtu kafika walau mara moja au mbili
 
Duuh...makalio si najua lazima yawe na nyama sasa wengine ukisema wanyonye makalio wataingia chumvini bure ndo maana nikasema nyama sio kule ndani utapata typhoid ndugu yangu ooh!!


Fiksiman acha uoga wewe usiseme nyama za makalio tuu...kama nimemsafisha kwa maji mengi pale Lodge nitamnyonya 0714 na nyama za makalio vizur tuuu haina typhoid wala degedege mkuu
 
Back
Top Bottom