discount supermarket
Member
- Jul 7, 2019
- 48
- 144
Leo naumwa sipo kaziniKwahiyo hii ndiyo bidhaa moja wapo inayopatikana hapo kwenye discount supermarket yako
Asubuhi yote hii ndiyo maana ya jamaa jiwe anatubuluza tu, mpaka wanyama anawazindua kwa idadi kubwa ya raia wa hivi bado
Tuna safari ndefu sana
Sina hata mmojaAma kweli wanaume? Wewe Unapaswa kuwa na mwanaume sio Wanaume...... inakuwaje uwe na wanaume?
Mi nipo single ukinihitaji nijulishe.Sina hata mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Wanawake wa kupaka mate wapo wapi ukipanua tunaona hadi moyo ukidunda
Hapana .Sina muda bossMi nipo single ukinihitaji nijulishe.
Sijishughulishi na mambo hizo hataIt seems ulikuwa unapakwa sana mate na hao wanaume mkuu.
Mwisho wa siku yakakutokea puani.
Hongera sana kwa kushituka mapema.
Pia ni ujumbe mzuri kwa wanawake wenzako.