Ndugu wana JF mwanamke bora anatakiwa kuwa na sifa zipi? Nauliza kwa maana siku hizi kila kukicha ndoa zinavunjika kwa kiwango kikubwa na lawama nyingi wanatupiwa wanawake. Pia imedhihirika wanawake wengi wanakuwa na kiburi kwa waume zao. Je ni sifa zipi anazotakiwa kuwa nazo mwanamke bora? Nawasilisha.
ndo mana tunashndwaga cz men a real unbearableAwe mvumilivu sana coz men are unbearable!
afunge mdomo
na afunge miguu isipokuwa kwa mumewe
Ndugu wana JF mwanamke bora anatakiwa kuwa na sifa zipi? Nauliza kwa maana siku hizi kila kukicha ndoa zinavunjika kwa kiwango kikubwa na lawama nyingi wanatupiwa wanawake. Pia imedhihirika wanawake wengi wanakuwa na kiburi kwa waume zao. Je ni sifa zipi anazotakiwa kuwa nazo mwanamke bora? Nawasilisha.
atleast convcingThis ia what defines her! She must be able satisfy you on bed ( a ----- to you) the best mother to your kids, she must be able to convice you that no other person can cook for you( your private chef), she should know her limits, she must be supportive.
Huo utakuwa ni uonevu The Boss.
Nami mwanamke nina haki ya kumkosoa mume wangu pale anapokosea.
Huo utakuwa mfumo dume.
Msituweke roho juu sie tusio ndoani.
Mtafanya tukimbie ndoa.
Asiwe malaya na pia asiwe mshirikina.