Mwanamke bora ana sifa zipi?

Mwanamke bora ana sifa zipi?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
919
Reaction score
598
Ndugu wana JF mwanamke bora anatakiwa kuwa na sifa zipi? Nauliza kwa maana siku hizi kila kukicha ndoa zinavunjika kwa kiwango kikubwa na lawama nyingi wanatupiwa wanawake. Pia imedhihirika wanawake wengi wanakuwa na kiburi kwa waume zao. Je ni sifa zipi anazotakiwa kuwa nazo mwanamke bora? Nawasilisha.
 
afunge mdomo
na afunge miguu isipokuwa kwa mumewe
 
awe na sifa kama zako mkuu
 
Mke na mume wanaishi kwa kuzozana mara kwa mara kwa sababu waliambiwa na viongozi wa dini waliowafungisha ndoa kwamba ndoa ni 'pingu za maisha' yaani ni kifungo cha maisha. Lakini kwenye madanguro wazinzi wanafurahi masaa yote kwa sababu hakuna pingu.
 
afunge mdomo
na afunge miguu isipokuwa kwa mumewe

Huo utakuwa ni uonevu The Boss.
Nami mwanamke nina haki ya kumkosoa mume wangu pale anapokosea.
Huo utakuwa mfumo dume.
Msituweke roho juu sie tusio ndoani.
Mtafanya tukimbie ndoa.
 
Last edited by a moderator:
ni yule anayemuogopa Mungu wake,anamheshimu mumewe na ndugu wa mumewe na hagawi uroda nje.
Nalog off
 
mwenye tabia njema na papuchi yakutosha kibamia changu.
 
Ndugu wana JF mwanamke bora anatakiwa kuwa na sifa zipi? Nauliza kwa maana siku hizi kila kukicha ndoa zinavunjika kwa kiwango kikubwa na lawama nyingi wanatupiwa wanawake. Pia imedhihirika wanawake wengi wanakuwa na kiburi kwa waume zao. Je ni sifa zipi anazotakiwa kuwa nazo mwanamke bora? Nawasilisha.

This ia what defines her! She must be able satisfy you on bed ( a ----- to you) the best mother to your kids, she must be able to convice you that no other person can cook for you( your private chef), she should know her limits, she must be supportive.
 
only who satisfied you on bed no any more hawa wadada wamekuwa pata potea ukiwa nae tumia kwel kwel bt remember to make a family
 
^^
Anaeng'amua ulimi mwepesi na ambae kinywa chake kimepakwa asali
^^
 
This ia what defines her! She must be able satisfy you on bed ( a ----- to you) the best mother to your kids, she must be able to convice you that no other person can cook for you( your private chef), she should know her limits, she must be supportive.
atleast convcing
 
upload.jpg

anaeweza naomba ai zoom hii image
 
Mbona komenti nyingi zinatishia wasio katika ndoa!
 
anaekupenda, kukuheshmu na kukuthamini..
 
Huo utakuwa ni uonevu The Boss.
Nami mwanamke nina haki ya kumkosoa mume wangu pale anapokosea.
Huo utakuwa mfumo dume.
Msituweke roho juu sie tusio ndoani.
Mtafanya tukimbie ndoa.

Madam,
Kumbe wewe mdomo mwingi,ngumi mkononi. aisee
 
Last edited by a moderator:
Mwenye upendo wa dhati, mtiifu, mstahimilivu,
mwenye kinywa chema, mvumiilivu, aliyemsafi pia
 
Back
Top Bottom